Blog hii inamilikiwa na Serikali ya Mtaa wa Kivule, Madhumuni ya Blog hii ni kuweka bayana habari zote zinazojitokeza katika mtaa wetu wa Kivule, pia watu watapata nafasi ya kuona maendeleo ya mtaa wetu. Wafanya biashara wote watakuwa na nafasi ya kutangaza biashara zao kupita blog hii.
Kwa kweli nawakubali sana viongozi wetu wa Mtaa wa Kivule kwa maendeleo ya mtaa wetu. Ila mtuambie matatizo ya barabra na Daraja lililobomoka sasa miezi bila matumaini
Kwa kweli nawakubali sana viongozi wetu wa Mtaa wa Kivule kwa maendeleo ya mtaa wetu. Ila mtuambie matatizo ya barabra na Daraja lililobomoka sasa miezi bila matumaini
ReplyDelete