Blog hii inamilikiwa na Serikali ya Mtaa wa Kivule, Madhumuni ya Blog hii ni kuweka bayana habari zote zinazojitokeza katika mtaa wetu wa Kivule, pia watu watapata nafasi ya kuona maendeleo ya mtaa wetu. Wafanya biashara wote watakuwa na nafasi ya kutangaza biashara zao kupita blog hii.
Bado naendelea kuwataka waendeshaji wa Blog hii Punguzeni taarifa za picha tupeni taarifa za maandishi tusome ili tupate kwa mtazamo mpana kuhusu hii ELIMU ya watoto wetu;
Bado naendelea kuwataka waendeshaji wa Blog hii Punguzeni taarifa za picha tupeni taarifa za maandishi tusome ili tupate kwa mtazamo mpana kuhusu hii ELIMU ya watoto wetu;
ReplyDeleteNi kweli mmefanya sehemu yenu kwa kiwango cheni pokeeni na mawazo mapya na mbinu mpya
ReplyDelete