Blog hii inamilikiwa na Serikali ya Mtaa wa Kivule, Madhumuni ya Blog hii ni kuweka bayana habari zote zinazojitokeza katika mtaa wetu wa Kivule, pia watu watapata nafasi ya kuona maendeleo ya mtaa wetu. Wafanya biashara wote watakuwa na nafasi ya kutangaza biashara zao kupita blog hii.
Viongozi wa Serikali ya Mtaa wa Kivule ni mfano wa kuigwa.
ReplyDeleteTuibadilishe Kivule yetu.
Swala la maendeleo ni sawa kuona kwa macho pia kusoma taarifa za Idara husika ziwekwe kwenye Blog, isiwe picha tu
ReplyDeleteWEKENI TAARIFA TUSOME.
ReplyDeleteMbona hamtoi majibu ya maoni yetu?
ReplyDelete