Saturday, December 8, 2012

Diwani Na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa kivule

Mwenyekiti wa serekari ya mtaa Kivule mwenye barakashia kulia kwake ni Diwani  mwenye shat nyeupe Mheshimiwa Nyansika Motema.

Wakiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya musingi Kivule

Walipo tembelewa shuleni hapo ambapo Diwani alipa kero mbali mbali na matatizo yanayokabili shule hiyo ya msingi ya Kivule.


Diwani wa Kivule akiwa ameambatana na Mwanyekiti wa serikari ya mtaa kivuli ndugu Gasaya,

Wakiwa kwenye shuhuri ya kukaguwa ma dalaja
yote ambayo yapo katika mtaa huyo.

Pia walikuwa wameambata na mujumbe wa serikari ya mtaa kivule

Mwanyekiti  wa serikali ya Kivule pamoja na Diwani akiwa pamoja na wa simama mizi wa muradi wa walemavu wa mashine za kusaga.

Hapo wa weza kuona ni jinsi gani watu wanavofanya kazi za kuji kimu kimaisha.

Pia kivule kuna mambo mengi


No comments:

Post a Comment