Blog hii inamilikiwa na Serikali ya Mtaa wa Kivule, Madhumuni ya Blog hii ni kuweka bayana habari zote zinazojitokeza katika mtaa wetu wa Kivule, pia watu watapata nafasi ya kuona maendeleo ya mtaa wetu. Wafanya biashara wote watakuwa na nafasi ya kutangaza biashara zao kupita blog hii.
Mwenyekiti Wa Mtaa Wa Kivule Akigagua Soko la Kivule Linalojengwa
Kivule sasa kua na soko ambalo litasaidia wananchi wa mtaa huo wakivule kutoenda mbali kutafuta bidha mbalimbali, kwa mda mrefu wanainchi wa mtaa wa Kivule wamekua wakitumia ghalama kubwa kwenda Buguruni, Kariakoo, Temeke, Tandale kutafuta bidha kwakosa soko. Sasa uongozi wa mtaa huo kwakushilikiana na wana nchi waka wamedhamiria kujenga soko lao, ambalo wafanya biashara watakua wanalitumia. kama muvona ujenzi wasoko hilo ukiendelea,
Mwenyekiti Wa Mtaa huo J.B. Gassaya (mwenye khofia na fimbo) akiwa akikagua kazi ya ujenzi wa soko hilo.
No comments:
Post a Comment