Tuesday, March 11, 2014

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA KIKAO CHA WAZI KILICHOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SERIKALI YA MTAA WA KIVULE

AJENDA KUU :Uanzishwaji wa ulinzi shirikishi katika kata ya kivule na vitongoji vyake



Baadhi ya wadau na wajumbe mbalimbali wa serikali ya mtaa wa kivule wakisikiliza jambo kwa makini wakati wa mkutano








Mkazi wa Bombambili katika kata ya kivule ndugu Ferdinand Kilike akitoa malalamiko juu ya kero ya uchimbaji wa mchanga usio halali unaoendelea kufanyika katika maeneo yao na kuwasababishia uchafuzi wa mazingira.



Wajumbe wateule waliochaguliwa kuwa walezi wa vikundi vya ulinzi shirikishi vitakavyoanzishwa katika kata ya kivule na vitongoji vyake kuanzia kushoto ni aliyekuwa Diwani wa kata ya kitunda Mh, Johanes Kaseno (Jaluo), katikati ni Mohamed Ally Salehe na kulia ni Magaria Antony Chacha wote wakazi wa kivule.








Mh; Gavana wa Ukonga akiwa ameketi meza kuu na mwenyeji wake ambaye ni mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Kivule




Wananchi wa kivule wakiwa katika vivuli wakifuatilia mkutano pia

No comments:

Post a Comment