Kutoka kuria wa kwanza ni Mwenyekiti wa Serikari ya mtaa wa Kivule Mh: J.B GASSAYA
Wa pili kutoka kuria ni Diwani wa kata ya Kikvule
Mh: NYANSIKA GEATAMA
Wa tatu kutokea kuria ni afisa mtendaji wa mtaa wa Kivule
Mr. Warioba
Wa nne kutokea kuria ni Mujumbe wa serikari ya kivule
Bii. Grace
Mwenyekiti, Diwani, Mwenyekiti wa kamati ya Hosipitali pamoja na mujumbe
wakiwa katika Zahanati ya kivule
Mwenyekiti, Diwani, pamoja na mujumbe wakiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Kivule, ambapo Mwenyekiti na Diwani walipotembelea shule hio
Mwenyekiti, Diwani, pamoja na mujumbe katika ziyara ya kugakua uyimara wa bahadhi ya madalaja yaliomo ndani ya mtaa huo
No comments:
Post a Comment