Hizi hapa ni bahadhi ya nyumba za wana nchi wa Kivule Musongola zilizo vunjiwa na uwongozi wa juu wa tasisi ya uvikuta kupitia mlezi wao Jordan Rugimbana Mkuu wa wilaya ya kinondoni.
Vitendo hivyo alivyo fanya Mh: Jordan Rugimbana kwa wana nchi hao sio kitendo cha uungwana kabisa na kianatakiwa kukemewa kabisa
Kwasas mahakama imetoa (Drawn Order) ambayo imetolewa Tarehe 2301/2013 ambayo inaonesha eneo lote kua la wana nchi pia maakama ilisema kama uvikiuta hawajaridhika na hukumu hio wako huru kufungua upya hio kesi ya ardhi namba 32/2012, kwahilo basi wana nchi wna uhuru wakuendeleza maeneo yao ambayo wanamiliki kihalari kabisa.
NYUBA ZILIZO VUNJIWA Wana nchi wa shanga jinsi nyumba zao zilivo vunjiwa
Kwa sasa wana nchi hao hadi sasa hawajuwi wataishi wapi mahana makazi yao ya me bomolewa bila ata kuona huruma.
Wananchi hao wa namuoba waziri wa mambo ya nchi Mhe: Nchimbi aingile kati ili polisi wa ache kukamata wananchi hao. pia wana nchi hao wamesema wakikamatwa kukataliwa dhamana na kudaiwa hela kiasi cha laki mbili na polisi ili waachiliwe.
Unaweza kuona makazi ya muda ya bahadhi ya wanacnhi hao.
Jambo lakushangaza nikwamba tangu wananchi hao wakumbwe na matatizo hao,ha wajawahi kumuona Mubunge wao EUGENE MWAIPOSA ata Diwani wawo Ndugu NYANSIKA GETAMA
Wananchi hao walimushukuru Mwenyekiti wa Serikari za Mtaa wa Kivule Ndugu JOSEPH GESSAYA kwakuwatembelea na kuwapa pole kwa sakata hilo
Vitendo hivyo alivyo fanya Mh: Jordan Rugimbana kwa wana nchi hao sio kitendo cha uungwana kabisa na kianatakiwa kukemewa kabisa
WANANCHI WANAOISHI MAENEO KIVULE-MUSONGOLA WAELEZEA KESI YAO YA ARIDHI DHIDI YA UVIKUTA
WANANCHI wanaoishi maeneo ya Kivule mpakani mwa Wilaya ya Temeke na Ilala jijini Dar es Salaam, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete pamoja na Serikali yake kudhibiti kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (UVIKIUTA), kuasha kufanya fujo na kutishia amani ya wana nchi hao, wakati mgogoro wao wa ardhi na wana nchi hao.
Wakiongea na wandishi wa habari hapo jana wananchi hao kupitia kwaviongozi wao walisema wanashangazwa na vitendo va uvikiuta vya ukatili, wanavowatendea pia walisema kwamba uwongozi huo wa uvikiuta umekeuka sheria za inchi na amri iliyo tolewa na mahakama ambayo ni muhimili wa dola.
Baada ya wananchi hao kufungua kesi katika mahaka kuu kitengo cha ardhi (The High Court Of Tanzania Land Division) Dar es salaam , mahakama bahada yakupia vielelezo vyote ilitoa Revisional Order baada yakupita hukumu yakwanza iliyotewa na mahakama ya wilaya ya Temeke kitengo cha aridhi (District Land and Housing Tribunal) kesi hio temeke ilipewa usajili wa namba 68/2012.
Mahakama kuu ilipopitia hukumu hio ikabaini kwamba kulikua na makosa hivo basi mahakama kuu ikafutilia mbali hukumu hio nakuamua kwamba Uvikiuta wafunguwe njia zote walizokua wakifunga, na asha mara moja vitendo vyakubomowa nyumba na kufyeka mazao ya wana nchi hapo ndipo mahakama kuu ikatoa Order namba 32 ya 2012 kusimamisha shuhuri zote za uvikiuta.
Lakini licha ya mahakama kuu kutowa Order hiyo Uvikiuta waliendelea na vitendo vao va kunyanyasa wananchi, kitendo cha uvikiuta kukeuka amri ya mahakama kili washangaza watu wengi kwa sababu hakuna aliye juu ya sheria,
Uwongozi huo wa uvikiuta ulikua ukiwatichia wana nchi hao kwa kusema "hili eneo ni laikuru" kumanisha kwamba JK anausika na enelo hilo jambo mbalo sio sahihi kabisa, lakini bahadhi ya wananchi kuamini kwamba au nikweli eneo hilo ni lakwake mukubwa wa nchi kwakulingana na nguvu za Uvikiuta ambazo zinasadikiwa zina natikea kwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni, Jordan Rugimbana kwa madai ya kutumia cheo chake vibaya na kutaka kuwanyang’anya ardhi wanayomiliki kihalali. Jordan Rugimbana yeye nimutumishi wa uma.
wakazi hao walieleza kushangazwa na kitendo kilichofanywa na Rugimbana cha kufika katika eneo hilo lenye hekari zaidi ya 372 na kugawa vipeperushi vya kuwataka wakazi hao kuondoka kwa hiyari kabla ya kubomolewa nyumba zao.
Akizungumza kwa niaba ya uongozi uliochaguliwa na wakazi hao, mjumbe wa kamati ya mgogoro huo, Barton Kigola,(katibu) alisema mkuu huyo wa wilaya anatumia nguvu aliyonayo kutaka kuwaondoa katika eneo hilo, hivyo watamfikisha mahakamani ili waweze kutetea haki yao. Kigola alisema mbali na kutumia nguvu aliyonayo, pia hukitumia kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (Uvikiuta) kuchukua ardhi hiyo.
“Hatuelewi kiongozi huyu anapata wapi idhini ya kutupokonya ardhi na hatuelewi kwanini anataka ardhi yote hii? Hata hivyo tunaiomba serikali wakichunguze kikundi hicho ambacho jina lake haliendani na matendo yake,” alisema.
Alisema eneo hilo lilikuwa mashamba ya wazawa ambapo mwaka 1974 baadhi ya wananchi waliondolewa katika operesheni vijiji na Rais wa awamu ya kwanza, hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Kigola alisema kutokana na wazawa kushindwa kulipwa fidia walilazimika kurudi katika maeneo yao na kuyaendeleza hadi sasa unapojitokeza mgogoro huo.
Wakiongea na wandishi wa habari hapo jana wananchi hao kupitia kwaviongozi wao walisema wanashangazwa na vitendo va uvikiuta vya ukatili, wanavowatendea pia walisema kwamba uwongozi huo wa uvikiuta umekeuka sheria za inchi na amri iliyo tolewa na mahakama ambayo ni muhimili wa dola.
Baada ya wananchi hao kufungua kesi katika mahaka kuu kitengo cha ardhi (The High Court Of Tanzania Land Division) Dar es salaam , mahakama bahada yakupia vielelezo vyote ilitoa Revisional Order baada yakupita hukumu yakwanza iliyotewa na mahakama ya wilaya ya Temeke kitengo cha aridhi (District Land and Housing Tribunal) kesi hio temeke ilipewa usajili wa namba 68/2012.
Mahakama kuu ilipopitia hukumu hio ikabaini kwamba kulikua na makosa hivo basi mahakama kuu ikafutilia mbali hukumu hio nakuamua kwamba Uvikiuta wafunguwe njia zote walizokua wakifunga, na asha mara moja vitendo vyakubomowa nyumba na kufyeka mazao ya wana nchi hapo ndipo mahakama kuu ikatoa Order namba 32 ya 2012 kusimamisha shuhuri zote za uvikiuta.
Lakini licha ya mahakama kuu kutowa Order hiyo Uvikiuta waliendelea na vitendo vao va kunyanyasa wananchi, kitendo cha uvikiuta kukeuka amri ya mahakama kili washangaza watu wengi kwa sababu hakuna aliye juu ya sheria,
Uwongozi huo wa uvikiuta ulikua ukiwatichia wana nchi hao kwa kusema "hili eneo ni laikuru" kumanisha kwamba JK anausika na enelo hilo jambo mbalo sio sahihi kabisa, lakini bahadhi ya wananchi kuamini kwamba au nikweli eneo hilo ni lakwake mukubwa wa nchi kwakulingana na nguvu za Uvikiuta ambazo zinasadikiwa zina natikea kwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni, Jordan Rugimbana kwa madai ya kutumia cheo chake vibaya na kutaka kuwanyang’anya ardhi wanayomiliki kihalali. Jordan Rugimbana yeye nimutumishi wa uma.
wakazi hao walieleza kushangazwa na kitendo kilichofanywa na Rugimbana cha kufika katika eneo hilo lenye hekari zaidi ya 372 na kugawa vipeperushi vya kuwataka wakazi hao kuondoka kwa hiyari kabla ya kubomolewa nyumba zao.
Akizungumza kwa niaba ya uongozi uliochaguliwa na wakazi hao, mjumbe wa kamati ya mgogoro huo, Barton Kigola,(katibu) alisema mkuu huyo wa wilaya anatumia nguvu aliyonayo kutaka kuwaondoa katika eneo hilo, hivyo watamfikisha mahakamani ili waweze kutetea haki yao. Kigola alisema mbali na kutumia nguvu aliyonayo, pia hukitumia kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (Uvikiuta) kuchukua ardhi hiyo.
“Hatuelewi kiongozi huyu anapata wapi idhini ya kutupokonya ardhi na hatuelewi kwanini anataka ardhi yote hii? Hata hivyo tunaiomba serikali wakichunguze kikundi hicho ambacho jina lake haliendani na matendo yake,” alisema.
Alisema eneo hilo lilikuwa mashamba ya wazawa ambapo mwaka 1974 baadhi ya wananchi waliondolewa katika operesheni vijiji na Rais wa awamu ya kwanza, hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Kigola alisema kutokana na wazawa kushindwa kulipwa fidia walilazimika kurudi katika maeneo yao na kuyaendeleza hadi sasa unapojitokeza mgogoro huo.
NYUBA ZILIZO VUNJIWA Wana nchi wa shanga jinsi nyumba zao zilivo vunjiwa
Kwa sasa wana nchi hao hadi sasa hawajuwi wataishi wapi mahana makazi yao ya me bomolewa bila ata kuona huruma.
Wananchi hao wa namuoba waziri wa mambo ya nchi Mhe: Nchimbi aingile kati ili polisi wa ache kukamata wananchi hao. pia wana nchi hao wamesema wakikamatwa kukataliwa dhamana na kudaiwa hela kiasi cha laki mbili na polisi ili waachiliwe.
Unaweza kuona makazi ya muda ya bahadhi ya wanacnhi hao.
Jambo lakushangaza nikwamba tangu wananchi hao wakumbwe na matatizo hao,ha wajawahi kumuona Mubunge wao EUGENE MWAIPOSA ata Diwani wawo Ndugu NYANSIKA GETAMA
Wananchi hao walimushukuru Mwenyekiti wa Serikari za Mtaa wa Kivule Ndugu JOSEPH GESSAYA kwakuwatembelea na kuwapa pole kwa sakata hilo
No comments:
Post a Comment