Sunday, April 7, 2013

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAPANDA PANTONI



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakishuka kutoka  kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa  wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa  wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013  walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

No comments:

Post a Comment