Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akipokea hundi ya shilingi Milioni hamsini kutoka serekali ya mapinduzi ya Zanzibar kufuatia ajili ya gorofa 16 lilosababisha maafa tarehe 29 march 2013 jijini Dar es salaam hundi hiyo imekabidhiwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi ndogo ya waziri mkuu Ostabey jijini Dar es salaam picha na chris mfinanga
MUASISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR MZEE ABEID AMANI KARUME AKUMBUKWA LEO
Shekhe wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Alhad Mussa Salum akitoa mawaidha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
Kiongozi wa Kanisa la Anglikana la Zanzibar akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
Kiongozi wa Kihindu akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
Wake za vionvgozi mbalimbali pamoja na mabalozi wakiwa katika dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
No comments:
Post a Comment