Saturday, December 27, 2014

CHIPUKIZI WA HIP HOP KIVULE AUMBUKA BAADA YA KULETA WAHUNI KUJA KUMSHANGILIA BILA KUWALIPA.


VIJANA WA KUNDI LA HAPPY FAMILY WAKIWA PAMOJA NA MSANII ANAYEJIITA (JINA KAPUNI) ALIYEVAA TOFAUTI NA WENGINE AMBAYE ALIAJIRI VIJANA KUJA KUMSHANGILIA NA KUMTAKA APANDE JUKWAANI KWA LENGO LA KUHARIBU SHOW ILI  KUKWEPA AIBU YA KUTEMWA KATIKA KUNDI NA KUZIDIWA KIMUZIKI  PAMOJA NA KUTOKUWA NA NIDHAMU KWA KUAMINI YEYE NDIYE MSANII PEKEE KIVULE LAKINI ZOEZI HILO HALIKUFANIKIWA BADALA YAKE ILIKUWA AIBU KWANI WADAU WA MUZIKI WANAJUA NANI MKALI  PIA MOJA YA MASHABIKI ALIPASUA JIPU NA KUSEMA ALIJUA KUWA ASHAANZA KUFAHAMIKA HIVYO BILA KUFANYA HIVYO HUENDA ANGEPOTEA KABISA KIMUZIKI, HIVYO HAPPY FAMILY HAIKUMZUIA KUPANDA JUKWAANI KWAKUWA IPO ILI KUPATA VIPAJI NA KUWAJENGEA MSINGI WA KUJIAMINI KWA WASANII WADOGO HIVYO HAIMVUMILII MSANII ANAYE JIKWEZA HUKU HAMNA KITU ALICHOFANYA CHA KUIAMSHA JAMII KWANI LENGO NI KUIJENGA KIVULE.

No comments:

Post a Comment