WNANCHI WA KITONGOJI CHA KIVULE WAKIPOKEA MABOX YA KUPIGIA KURA KUTOKA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA
BENDERA YA CCM IKIWA IMESHUSHWA KWENYE OFISI ZA SERIKALI YA MTAA WAKIVULE MARA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA
WANANCHI WAKISHANGILIA KATIKA VARANDA YA OFISI ZA SERIKALI YA MTAA WA KIVULE MARA BAADA CHADEMA KUIBUKA WASHINDI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA WAWAKILISHI KATIKA NGAZI YA SERIKALI ZA MTAA.
BAADHI YA WASIMAMIZI NA MAWAKALA WAKIZOZANA NANI ASAINI KUKUBALI MATOKEO WAKIWA NDANI YA CHUMBA KILICHOKUWA NI OFISI YA MTENDAJI WA KITONGOJI HUKU WANANCHI WAKIWASUBIRI NJE NA WAKISHANGILIA KUWATAKA WAMALIZE HARAKA KUKAMILISHA USHINDI WAO
No comments:
Post a Comment