Saturday, December 27, 2014

UCHAGUZI NGAZI YA UENYEKITI SERIKALI YA MTAA WA KIVULE


WNANCHI WA KITONGOJI CHA KIVULE  WAKIPOKEA MABOX YA KUPIGIA KURA KUTOKA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA


BENDERA YA CCM IKIWA IMESHUSHWA KWENYE OFISI ZA SERIKALI YA MTAA WAKIVULE MARA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA



WANANCHI WAKISHANGILIA KATIKA VARANDA YA OFISI ZA SERIKALI YA MTAA WA KIVULE MARA BAADA CHADEMA KUIBUKA WASHINDI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA WAWAKILISHI KATIKA NGAZI YA SERIKALI ZA MTAA.



BAADHI YA WASIMAMIZI NA MAWAKALA WAKIZOZANA NANI ASAINI KUKUBALI MATOKEO WAKIWA NDANI YA CHUMBA KILICHOKUWA NI OFISI YA MTENDAJI WA KITONGOJI HUKU WANANCHI WAKIWASUBIRI NJE NA WAKISHANGILIA KUWATAKA WAMALIZE HARAKA KUKAMILISHA USHINDI WAO


CHIPUKIZI WA HIP HOP KIVULE AUMBUKA BAADA YA KULETA WAHUNI KUJA KUMSHANGILIA BILA KUWALIPA.


VIJANA WA KUNDI LA HAPPY FAMILY WAKIWA PAMOJA NA MSANII ANAYEJIITA (JINA KAPUNI) ALIYEVAA TOFAUTI NA WENGINE AMBAYE ALIAJIRI VIJANA KUJA KUMSHANGILIA NA KUMTAKA APANDE JUKWAANI KWA LENGO LA KUHARIBU SHOW ILI  KUKWEPA AIBU YA KUTEMWA KATIKA KUNDI NA KUZIDIWA KIMUZIKI  PAMOJA NA KUTOKUWA NA NIDHAMU KWA KUAMINI YEYE NDIYE MSANII PEKEE KIVULE LAKINI ZOEZI HILO HALIKUFANIKIWA BADALA YAKE ILIKUWA AIBU KWANI WADAU WA MUZIKI WANAJUA NANI MKALI  PIA MOJA YA MASHABIKI ALIPASUA JIPU NA KUSEMA ALIJUA KUWA ASHAANZA KUFAHAMIKA HIVYO BILA KUFANYA HIVYO HUENDA ANGEPOTEA KABISA KIMUZIKI, HIVYO HAPPY FAMILY HAIKUMZUIA KUPANDA JUKWAANI KWAKUWA IPO ILI KUPATA VIPAJI NA KUWAJENGEA MSINGI WA KUJIAMINI KWA WASANII WADOGO HIVYO HAIMVUMILII MSANII ANAYE JIKWEZA HUKU HAMNA KITU ALICHOFANYA CHA KUIAMSHA JAMII KWANI LENGO NI KUIJENGA KIVULE.

Friday, December 26, 2014

HAPP FAMILY INTERTAINMENT YAN'GARA NA KUITANGAZA KIVULE


MEMBER WA HAPPY FAMILY WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA JUKWAANI


MASHABIKI MBALIMBALI WAKISHABIKIA JAMBO PINDI  KUNDI LA HAPPY FAMILY
LIKITUMBUIZA JUKWAANI


BAADHI YA MASHABIKI NA WATAZAMAJI WALIOKUWEPO KATIKA TAMASHA


  DJ AKIFANYA YAKE KWENYE MASHINE
\

 MADANCER WAKIFANYA VITU SIKU YA HAPPY FAMILY INTERTAINMENT




WASANII MAHIRI WA HAPPY FAMILY G-DAZZLE NA G-SWIGU WAKIFANYA MAMBO JUKWAANI






Tuesday, March 11, 2014

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA KIKAO CHA WAZI KILICHOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SERIKALI YA MTAA WA KIVULE

AJENDA KUU :Uanzishwaji wa ulinzi shirikishi katika kata ya kivule na vitongoji vyake



Baadhi ya wadau na wajumbe mbalimbali wa serikali ya mtaa wa kivule wakisikiliza jambo kwa makini wakati wa mkutano








Mkazi wa Bombambili katika kata ya kivule ndugu Ferdinand Kilike akitoa malalamiko juu ya kero ya uchimbaji wa mchanga usio halali unaoendelea kufanyika katika maeneo yao na kuwasababishia uchafuzi wa mazingira.



Wajumbe wateule waliochaguliwa kuwa walezi wa vikundi vya ulinzi shirikishi vitakavyoanzishwa katika kata ya kivule na vitongoji vyake kuanzia kushoto ni aliyekuwa Diwani wa kata ya kitunda Mh, Johanes Kaseno (Jaluo), katikati ni Mohamed Ally Salehe na kulia ni Magaria Antony Chacha wote wakazi wa kivule.








Mh; Gavana wa Ukonga akiwa ameketi meza kuu na mwenyeji wake ambaye ni mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Kivule




Wananchi wa kivule wakiwa katika vivuli wakifuatilia mkutano pia