Tuesday, March 26, 2013

ABILIA WAPOTEZA MAISHA NA KUJERUHIWA KATIKA AJALI MADALAJA YA KIVULE

Mwandishi: Mkali  Ephraim
Mhariri: Raphael Malekela
Picha : Habibu

Ajari mbaya sha basi la abiria linalofanya safari zake kati ya Kivule na Banana jijini Dar er salaam namba gari hilo hazikuwezakupatikana. Chanzo cha ajari hiyo ni mwendo kasi na kuferi kwa breki ambopo likamugonga mwanafunzi ambaye alikua anaendesha basikeri kuelekea shuleni.

Baada yakumgonga mwanafunzi huyo gari hilo lilianguka nakumulalia mwanafunzi huyo nakupoteza maisha papo hapo, na wawili waliyokuwa kwenye basi hilo na wengine   kujeruhiwa vibaya nakukimbizwa katika hosipitali ya amana.

Mashuhuda wa ajari hiyo wameeleza kuwa mwendo kasi na uzembe wa dereva ndiyo chanzo cha ajari hizi
Pamoja na hilo Ubovu na Uchakavu wamagari yanayo fanya ruti kati ya banana, kivule, kitunda, mwanagati, kibeberu nakinyantira na ubovu wa barabara na ufinyu wa madaraja ni chanzo cha ajari katika maeneo hayo. 

Sambamba na hilo uchunguzi umebaini madereva wengi hawana elimu ya udereva na hawana leseni za udereva, hivyo jamii inaviomba vyombo husika kufuatilia jambo hilo kunusuru usalama wa abilia na mali zao pamoja navyombo vyao vya usafili..

Katika ajari hiyo wananchi walijitokeza kutoa msaada kwa wahanga wa ajari  wakiwemo mhe: diwani wakitunda na mwenyekiti wa selikari ya  mtaa wa kivule mh: J.B Gassaya.


Wakati huo huo ajari nyingine imetokea maeneo ya kwa mwairafu barabara hiyo hiyo wakati wananchi wakitoa msahada katika ajari iliyo husisha basi  la abiria kama inavyoonekana katika picha. ajari hio iliyo husisha lori la mchanga kugongana uso kwa uso na basi la abiria aina ya costa, abiria kadhaa  wamejeruhiwa.
                                                                                                                                                               









Mwenyerkiti wa  selikari ya mtaa kivule Mh: Gassaya (katikati) akishuhudia ajari hiyo.



PICHA ZOTE KATIKA AJARI HIYO!





No comments:

Post a Comment