LULU STAR COMPUTER TRAINING COLLEGE
CHUO CHA LULU STAR COMPUTER TRAINING COLLEGE KILIOPO DAR ES SALAAM -KIVULE CCM, KINAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA COMPUTER.
MASOMO YANAYO FUNDISHWA NI KAMA IFUATAVYO:
1.COMPUTER APPLICATION COURSE
2.GRAPHIC DESIGN
3.ICT CERTIFICATE
GHARAMA ZETU NI NAFUU SANA .FORM ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA OFFICEN AU OFFICE YA S/KALI YA MTAA WA KIVULE,WAI SASA UPATE UJUZI.
KILA MWANAFUNZI NA COMPUTER YAKE NA PIA KUNA WALIMU WALIYO BOBEA KATIKA UFUNDISHAJI WA COMPUTER.
NB:PIA WANATENGENEZA COMPUTER ZA AINA MBALIMBALI NA KUUZA LAPTOP NA DESK TOP KWA GHARAMA NAFUU SANA.
KWA MAWASILIANO ZADI PIGA SIMU NO:
0714 205372,0766041678 AU 0687 348089
Email:lulustarcollege@yahoo.com
No comments:
Post a Comment