Saturday, March 2, 2013

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA UAE



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013
  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013

No comments:

Post a Comment