Wazazi na walezi wailalamikia shule ya msingi kivule michango imezidi, zaidi ya Wanafunzi 129 wa shule ya Msingi kivule hawakufanya mitihani ya muhula wa kwanza kwa kile kilichodaiwa hawakutoa michango ya mitihani.
Hatua hiyo imekuja baada ya wanafunzi hao kukosa fedha kiasi cha Tsh4,000 kwa ajili ya michango ya kuchapisha mitihani ya jambo lililosababisha walimu wa shule hiyo kuwazuia kufanya mitihani hiyo hadi hapo watakapopeleka fedha hizo.
Kwa nyakati tofauti, wazazi wa watoto hao wamelaani kitendo hicho na kudai kuwa watoto wao hawakutendewa haki kutofanya mitihani.
No comments:
Post a Comment